KWANINI UJIUNGE NA CHUO CHA UALIMU NYAMAHANGA?
- Chuo kina miundo mbinu bora,madarasa yenye kiwango,Mabweni mazuri,Maktaba ya kompyuta.
- Chuo kina Maktaba yenye vitabu vya kutosha, mazingira bora ya kufundishia na kujifunzia na wakufunzi bora waliobobea katika ufundishaji.
- Chuo kina ufaulu mzuri sana tangu kilipoanza hadi sasa.
SIFA ZA MWOMBAJI:
- Awe amehitimu kidato cha nne na mwenye ufaulu usiopungua Division III, Point 25.
KWA MAWASILIANO ZAIDI,KUPATA NA KUTUMA FOMU YA KUJIUNGA NA CHUO:
Mkuu wa Chuo,
Chuo cha Ualimu Nyamahanga,
S.L.P 25,
Biharamulo,
Kagera.
Email:nyamahangatc@gmail.com
Simu : 0688381381/ 0756281824 / 0767894537/ 0759329597
.
Karibu sana Chuo cha Ualimu Nyamahanga
"ELIMU NA MAADILI MEMA"
No comments:
Post a Comment